×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi 5 wa shule ya Mwariki Nakuru wadai kufukuzwa shuleni kwa kutohudhuria masomo ya ziada

9th June, 2015

Wanafunzi watano wa shule ya upili ya Mwariki kaunti ya Nakuru wamelazimika kusomea nyumbani, wakidai kuwa walifukuzwa shuleni baada ya kukosa kuhudhuria masomo ya ziada siku ya Jumamosi. Kulingana na wanafunzi hao na wazazi wao mwalimu mkuu aliwafukuza na kuashiria kuwa hatowaruhusu tena katika shule hiyo.
.
RELATED VIDEOS