JAMHURI DAY CELEBRATIONS: Wakenya washerekea Jamhuri katika Kaunti mbalimbali
12th December, 2014
Wakenya katika kaunti mbali mbali nchini walitangamana kuadhimisha siku kuu ya jamhuri huku magavana wakitoa hotuba..suala la usalama lilizingatiwa na wakuu wengi wa serikali za kaunti.