Mtoto wa miaka 7 kunajisiwa kila usiku na jirani mwengine wa miaka 13 akinajisiwa na babake
4th December, 2014
Mtoto wa umri wa miaka 7 katika mtaa wa Tasia hapa jijini Nairobi ameokolewa mikononi mwa jirani yao ambaye amekuwa amefanya mazoea ya kumnajisi kila usiku babake anapokwenda kazini . Aidha mtaani humo vilevile mshichana mwengine wa umri wamiaka13 ametoroka kwao na kufichua kwamba amekuwa akinajisiwa na babake mzazi kwa muda wa miaka miwili mfululizo. Lofty Matambo amekuwa Tassia