Mwanamke Gilgil amtafuta mumewe ambaye alichukuliwa usiku wa manane na “maafisa wa KWS”
21st November, 2014
Mwanamke mmoja katika eneo la Gilgil kaunti ya Nakuru amekuwa akimtafuta mumewe ambaye anadai alichukuliwa usiku wa manane na watu waliojitambulisha kuwa maafisa wa KWS. Mary Wairimu anasema kwa zaidi ya siku 10 hajamwona mumewe James Karanja Gitiha... Shirika la KWS tawi la Nakuru hata hivyo linakunusha kuhusika kwa maafisa wake kwenye misako manyumbani. Kamche Menza anaarifu