Kijana Timothy Khamala hatimaye ameajiriwa kazi na mwakilishi wa Wodi ya Maraka
26th August, 2014
Kijana Timothy Khamala hatimaye ameajiriwa kazi na mwakilishi wa wodi anayotoka ya maraka ali machani balala. hatua hio itamuezesha khamala kujisimamia yeye na mpenzi wake sarika patel,ambao sasa wamo mbioni kuandaa harusi yao.