Daraja Mumias inawakosesha wakaazi usingizi na ajali ya kila mara
24th July, 2014
Kivukio cha Lusumu katika eneo la Mumias kinazidi kuwakosesha usingizi wakazi wa eneo hilo.hii ni kutokana na kukithiri kwa mikasa ya ajali katika daraja hilo. Sasa imani za ushirikina zinaanza kuhusihwa na daraja hilo…lakini je? Ni ushirikina au ni hali mbaya ya daraja hili