Wasifu wa Simba Arati mmoja wa wagobeaji wa ODM
27th February, 2014
Kwenye makala yetu maalum kuhusu uchaguzi chamani ODM, hebu sasa tumpishe Frank Otieno akitujuza mengi kumhusu mbunge wa dagoretti kaskazini, Simba Arati. Arati ni mgombeaji wa kiti cha kiongozi wa chama. Anafahamu umaarufu wa Raila Odinga kwenye wadhifa huo lakini anajipiga kifua kwa kusema, wanaume hukutana uwanjani.