×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa eneo la Garissa awataka walimu kufutwa kwa matokeo mabaya ya mtihani

3rd January, 2014

Siku chache tu baada ya matokeo ya mtihani wa darasa la nane kutangazwa, sasa viongozi wa maeneo ambayo wanafunzi hawakufanya vyema wanapanga mikakati ya jinsi ya kuinua hadhi ya shule katika maeneo hayo.katika kaunti ya Garissa , Gavanna wa eneo hilo amewataka walimu wakuu ambao shule zao hazijafanya vyema kuachishwa kazi .je hii ni hatua itakayochukuliwa kote nchini na itakubalika?
.
RELATED VIDEOS