Mtu mmoja afariki na 50 kujeruhiwa katika ajali
3rd November, 2013
Mtu mmoja ameaga dunia huku wengine hamsini wakiuguza majeraha katika ajali iliyotokea jijini mapema hii leo, hii ikiwa miongoni mwa ajali nyingi ambazo zinazidi kuleta maafakila siku humu nchini, je, nani wa kulaumiwa na ni taratibu zipi ambazo idara husika inafaa kuzichukua?