×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hassan Joho ataka Bandari ya Mombasa kurejesha kwa kaunti ya Mombasa

23rd July, 2013

Serikali ya kaunti ya Mombasa inapania kuirejesha bandari ya mombasa mikononi mwake wakisema kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia katika kurejesha hadhi na hata mapato ya kaunti hiyo. Matamshi haya yalitolewa na seneta wa kaunti ya Mombasa Hassan Omar Sarai na kuungwa mkono na gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho wakati wa uzinduzi wa magari ya maafisa wa polisi wa kaunti
.
RELATED VIDEOS