×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Masaibu ya mwalimu

26th June, 2013

Pale serikali ilipoafikiana na wadau wa elimu mwaka 97 kuhusiana na nyongeza ya mishahara yao na marupurupu, William Theuri alikuwa ni mwalimu wa shule ya wandumbi huko tetu. Yeye kama walimu wengine walikuwa na matumaini mahangaiko yao ya muda mrefu yatatupwa katika kaburi la sahau na mkataba huo wa 1997. Theuri lakini hana la kujivunia kwani alistaafu mwaka 1999 akiwa bado anasubiri nyongeza hiyo
.
RELATED VIDEOS