Nyama ya kobe ina ladha gani
14th April, 2013
Kwa wakenya wengi nyama huwa ni kitoweo muhimu katika chakula, ima iwe nyama ya mbuzi, ngombe au hata ya ngamia. Kinaya kikubwa ni kuwa katika kaunti ya Baringo , mzee Olechiri yeye hula kobe. Na kama anavyoripoti mwanahabari Hussein Mohammed, mzee huyo amewavutia wengi kutokana na kitoweo chake hiki cha ajabu