News : Tume ya Huduma Za Polisi yaendelea na usaili wa manaibu
14th November, 2012
Zachary Kingori Mwangi alifika mbele ya Tume ya Huduma Za Polisi,na kukabiliwa na shutma ya ulanguzi wa mihadarti na mauaji, Ndegwa Muhoro pia wa Kitengo Cha Ujasusi Pia alifika katika usaili wa manaibu Inspekta wa Polisi, Hussein Mohamed Na Taarifa Zaidi
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv