Maafisa wa polisi na idara ya usajili wa magari walitwaa gari la mchezaji Mac Donald Mariga ambalo lina usajili wa kibinafsi. Gari hili aina ya hummer, lilipelekwa katika makao makuu ya idara ya trafiki ambapo polisi waliapa kuya nasa magari yenye usajili kama huo.