Shule ya maranda iliyoko eneo la Nyanza imeshamiri katika mtihani wa mwaka huu licha ya changamoto nyingi zinazokabili shule hio , shule hio iko mbali na mji mkuu wa kisumu. Na kinyume na mawazo ya wengi yalivyo kuwa ni shule kuu na zilizo maeneo fulani ndizo hufuzu basi maranda imewapa taswira nyengine .huyu hapa Joel Omoto na taarifa kuhusiana na shule hio iliyoongoza mtihani wa mwaka huu wa KCSE.