Sportpesa yatia Kandarasi na klabu ya Arsenal
6th February, 2016
Kampuni ya bahati nasibu ya humu nchini sportpesa imetia kandarasi na klabu ya kandanda ya uingereza arsenal na kuwa klabu ambayo itaendesha maswala ya bahati nasibu kwa klabu hiyo humu nchini.mukataba huo utaipa nafasi kampuni hiyo kuwapa vijana n afasi ya kupata mafunzo ya kandanda kutoka kwa makocha wa timu ya arsenal mara mbili kwa msimu. Mkataba huo pia utasaidia katika kukuza soka nchini. Kwa upande wake klabu ya arsenal itawapa wakenya fursa ya kupata mafunzo kuhusu mbinu za kuendesha maswala ya soka na pia mbinu ambzo zitatumika kuboresha soka.