Mtu mmoja afariki na wengine tisa kujeruhiwa baada ya jengo kuporomoka kule Makongeni
17th December, 2014
Mtu mmoja amethibitishwa kufariki na wengine tisa kujeruhiwa vibaya baada ya jengo kuporomoka katika eneo la Makongeni hapa jijini Nairobi. Baadhi yao walifikishwa hospitalini kenyatta kwa matibabu, huku waziri wa ardhi Charity Ngilu akisema jengo hilo lilijengwa kinyume cha sheria.