×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Afisa wa polisi aliyefika mahala alipouwawa sharon otieno atoa maelezo zaidi kuhusu mwendazake

22nd March, 2022

Afisa wa polisi aliyefika mahala alipouwawa Sharon Otieno ameichorea picha  mahakama jinsi mwili wa mwendazake ulivyokuwa na majeraha ya kudungwa kisu kwenye shingo walipouapata katika msitu wa kodera katika kaunti ya migori  tarehe 3 mwezi septemba mwaka 2018. Inspekta Mary Mogire akiwa kizimbani kutoa ushahidi katika kesi hiyo ya mauaji inayomwandama gavana wa migori okoth obado, msaidizi wake michael oyamo na aliyekuwa karani wa kaunti hiyo Caspar Obiero, amesema palikuwa na pakiti za mipira ya kondomu kando na mingine mitatu iliyotumika huku vitu alivyokuwa navyo sharon aliyekuwa mja mzito wakati akiaga vikiwa vimetapakaa.

 

.
RELATED VIDEOS