25th February, 2022
Kwenye makala yetu ya kila ijumaa ya mirindimo tunangazia jinsi wansiasa waliendelea kurushiana vijembe huku Rais Uhuru Kenyatta akioenkana kupandisha mori dhidi ya utendakazi wa naibu wake William Ruto. Ruto naye alionekana kuelekeza dira yake kwa kinara wa ODM Raila Odinga huku kila mwamba ngoma akionekana kuvutia upande wake.