×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Livondo ahojiwa na maafisa wa DCI huku akidai afisa mkuu serikalini alipanga njama ya kumdhuru Uhuru

21st February, 2022

Mwanaharakati wa kisiasa Stanley Livondo leo alifika katika makao makuu ya upelelezi wa makosa ya jinai DCI, kuandikisha taarifa kuhusu matamshi aliyotoa jumamosi iliyopita, akidai kwamba kulikuwa na njama ya kumdhuru rais Uhuru Kenyatta miaka kadhaa iliyopita njama ambayo alidai ilipangwa na naibu rais William Ruto. Livondo, aliyeandamana na wakili wake, alisema bado anashikilia madai yake, akiongeza kwamba amewakabidhi wapelelezi wa DCI taarifa nyeti kuhusu swala hilo. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Emmanuel Too, Livondo aliachiliwa huru baada ya kuandikisha taarifa hiyo.

 
.
RELATED VIDEOS