×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga apeleka kampeni za Azimio la Umoja Kwale huku akiahidi kushusha bei ya chakula nchini

21st February, 2022

Muungano wa kisiasa wa Azimio la Umoja umeendeleza kampeni zake katika maeneo mbali mbali nchini, katika eneo la Magharibi muungano huo umeandaa mkutano mkubwa katika kaunti ya Vihiga. Kinara wa ODM Raila Odinga amewaongoza wafuasi wake katika muungano huo kuuza sera zake katika eneo la Pwani na kuwaahidi mabadiliko makubwa ikiwemo kuiboresha bandari ya Shimoni endapo atachaguliwa.

 
.
RELATED VIDEOS