×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Kenya Kwanza washutumu serikali kwa kuongeza bei ya bidhaa nchini

21st February, 2022

Muungano wa Kenya kwanza sasa unaishutumu serikali kutokana na kile wanachokitaja kama kuwapuuza wakenya gharama ya maisha ikizidi kupanda kila uchao. Wakizungumza na wanahabari na kisha baadaye kwenye mikutano ya hadhara katika kaunti ya Meru wanasiasa hao wamemshutumu waziri wa fedha Ukur Yattani wakidai alipitisha kiwango kinachokubaliwa kisheria kukopa pesa bila ya idhini ya bunge.

.
RELATED VIDEOS