Mchango wa Joe Muriuki katika kampeni ya kuhamasisha wakenya dhidi ya virusi vya ukimwi
17th February, 2022
Dr. Joe muriuki ambaye ni mkenya wa kwanza kutangaza hadharani kuwa anaishi na virusi vya hiv vinvayosababisha ukimwi miaka 35 iliyopita aliaga dunia tarehe kumi na nne mwezi huu.