×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Historia ya Mzee Chemirmir: Aliwahi kukamatwa kwa kumpiga na kumjeruhi mzungu

30th January, 2022

Mzee ambaye picha yake inadaiwa kuchapishwa na serikali ya kikoloni kama mtu anayetafutwa kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mzungu enzi ya utawala wa kikoloni  1940 amezikwa nyumbani kwake katika kijiji cha tumeiywo kaunti Ya Elgeyo Marakwet. Mzee Jeremiah Kigen Mosop Arap Chemirmir anayeaminika kuwa na umri wa zaidi ya miaka mia moja ameaga dunia baada ya kuandikisha historia katika Utawala wa kikoloni.

.
RELATED VIDEOS