×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Ngilu aimarisha wito wake wa kumtaka Kalonzo kujiunga na vuguvugu la Azimio la Umoja

26th January, 2022

Gavana wa kaunti ya Kitui Charity Ngilu ameimarisha wito wake wa kumtaka kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kujiunga na vuguvugu la Azimio la Umoja na kuunga mkono azma ya Raila Odinga kugombea kiti cha urais.

Akizungumza katika mkutano wa wajumbe kutoka maeneo mbali mbali ya kaunti ya Kitui, Ngilu amesema kuwa dalili zote sasa zinaonyesha kuwa Kalonzo anastahili kujiunga na Azimio la Umoja na kuweka mkataba wa kubuni serikali ijayo na kiongozi wa ODM Raila Odinga.

.
RELATED VIDEOS