×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Muungano wa OKA waanza juhudi zakutafuta uungwaji mkono kutoka kwa wanasiasa wengine

26th January, 2022

Muungano wa One Kenya Alliance umeanza juhudi zakutafuta uungwaji mkono kutoka kwa wanasiasa wengine baada ya kinara wa ANC Musalia Mudavadi na Moses Wetangula wa Ford Kenya kutorokea mrengo wa Naib Rais William Ruto.

Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amefanya mkutano na mfanyabiashara Jimi Wanjigi, katika kile kinachokisiwa kuwa ni kupanga mikakati ya muungano wa kiasa kuimarisha OKA inayomshirikisha pia mwenyekiti wa KANU Gideon Moi.

.
RELATED VIDEOS