.
25th January, 2022
Watoto ni baraka, na ndivyo ilivyo kwa Ann Muigai na mumewe David Muturi waliojaliwa watoto wanne miezi mitatu iliyopita.
Lakini maisha yao yamebadilika huku pato lao la kila siku wakitegemea biashara ya boda boda inayoendeshwa na David na wakikabiliwa na changamoto za kuwalea wanao.