×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maandalizi ya mkutano wa chama cha ANC yakamilika kule BOMAS, huku kauli ya Mudavadi ikisubiriwa

22nd January, 2022

Maandalizi ya mkutano wa ndc wa chama cha ANC yamekamilika katika eneo la bomas huku wakenya wakisubiri kwa hamu kauli ya kinara wa ANC Musalia Mudavadai kuwa atatoa kauli ya kisiasa itakaotikisa nchi kama mtetemeko wa ardhi. Haya yanajiri huku viongozi wenza wa OKAwakisema watahudhuria mkutano huo licha ya wana ANC kusisitiza oka lazima imteue mudavadi kama mgombea wake wa urais  wakishikilia hawakotayari kufanya kazi na Raila.

.
RELATED VIDEOS