×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila azuru Narok na kuwataka jamii ya wa Maa kumuunga mkono katika azma yake kugombea urais

22nd January, 2022

Kiongozi wa ODM Raila Odinga amepeleka kampeni zake za Azimio la umoja katika jamii ya Wamaa huko Narok na Kuwataka wamuunge mkono katika azma yake ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu ujao Raila alifanya Mikutano ya siasa katika uwanjwa wa ololunga na ewaso  Ng'iro na akazungumzia suala la msitu wa mau na juhudi zake Za kuuokoa alipokuwa waziri mkuu wa kenya wakati serikali Ya muungano. 

.
RELATED VIDEOS