×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Idadi ndogo ya watu wahudhuria mkutano wa Naibu Rais Ruto alipokuwa akizuru eneo la Makueni

22nd January, 2022

 Naibu Rais William Ruto amekuwa katika kaunti ya makueni japo hakupata makaribisho ya kuridhisha kutokana na idadi Ndogo ya watu waliohudhuria mkutano huo.katika mkutano Wake wa kwanza katika kanisa la AIC, Kathonzweni naibu rais alilazimika kupiga kambi afisini ili watu wafike kuhudhuria Hafla hiyo iliyokuwa na watu wachache. 

.
RELATED VIDEOS