21st January, 2022
Katika makala ya mirindimo katibu mkuu wa cotu Francis Atwoli asema ruto hajui maana ya rozari, raila asema kuwa hoja zake si uongo na ruto asisitiza kuwa raila amemzeesha kalonzo. si hayo tu kuna mtetemeko wa radhi unakuja kwa hisani ya musalia mudavadi