21st January, 2022
Matayarisho ya kongamano la chama cha anc yanaendelea kwenye eneo la bomas ikitarajiwa kuwa kiongozi wa chama cha anc musalia mudavadi atatoa mwelekeo wa kisiasa wa chama hicho…lakini ni ripoti kuhusu walioalikwa kwenye kongamano hilo ambayo imeibua hisia kali kwenye ulingo wakisiasa…inadaiwa kuwa kinara wa chama cha odm raila odinga hajaalikwa kwenye kongamano hilo huku maswali yakisalia je, ni mpango upi unaoandaliwa na musalia?