×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila atawazwa kuwa mzee wa jamii ya Wakuria baada ya kuzuru Kuria magharibi

20th January, 2022

kinara wa chama cha ODM Raila Odinga hii leo alitawazwa kuwa mzee wa jamii ya wakuria alipozuru kehancha, eneo  bunge la kuria magharibi kaunti ya migori kuendeleza kampeni za azimio la umoja. odinga ambaye alianza rasmi kampeni zake eneo la nyanza mwaka huu aliwahakikishia wakenya kuwa atafanya jitihada kuboresha ugatuzi. odingaalikuwa ameandamana na viongozi kadhaa kutoka magharibi mwa kenya na mlima kenya vile vile ambapo ameendelea kupata  uungwaji mkono. 

.
RELATED VIDEOS