×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Nordin Haji ataka Mutyambai kuanza uchunguzi kwa ukurasa wa 'Facebook' inayoendeleza uchochezi Lamu

15th January, 2022

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Hajji amempa siku thelathini inspekta mkuu wa polisi Hillary Mutyambai kuanzisha uchunguzi na kupeana majibu ya uchunguzi huo kuhusiana na ukurasa mmoja wa facebook unaotuhumiwa kutumiwa kwa uchochezi katika kaunti ya Lamu. Hili linajiri wakati serikali imeanza kuwasaka wachochezi na magaidi wa Al Shabaab waliohusika na mauaji ya zaidi watu kumi na tatu wakiwemo maafisa wanne wa polisi chini ya siku kumi zilizopita.

 
.
RELATED VIDEOS