×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mudavadi akosa kuhudhuria mkutano wa OKA uliyoandaliwa kuchaguwa mgombeaji wa urais

14th January, 2022

Wafuasi wa muungano wa One Kenya Alliance wataendelea kusubiri kabla ya kutangazwa kwa kinara atakayepeperusha bendera ya muungano huo katika uchaguzi mkuu ujao. Kulingana na mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya muungano huo Sammy Karanja, tayari ripoti ya jinsi atakavyochaguliwa mgombea wa urais ipo tayari na kinacho subiriwa ni kujulishwa na kukubaliana na wajumbe wa vyama tanzu kabla ya tangazo hilo kufanywa. Wakati uo huo, vinara wa One Kenya wamekanusha madai ya kuibuka kwa mianya katika muungano wao na kuwa Musalia Mudavadi yumo katika safari ya kugura OKA.

 
.
RELATED VIDEOS