×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga apeleka siasa ya azimio Taita Taveta, ahonya wakenya dhidi ya kumchagua Ruto

14th January, 2022

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga leo hii hii ametua na msafara wa azimio la umoja katika kaunti ya Taita Taveta ambapo amefaulu kuwavutia upande wake wanasiasa kutoka vyama pinzani na wakati uo huo kuwaonya wapiga kura dhidi ya kumchagua naibu rais William Ruto. Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Granton Samboja aliechaguliwa kupitia chama cha wiper na mbunge wa Taveta Naomi Shaaban wa Jubilee wote wakionyesha imani ya Odinga kuwa rais wa tano.

 
.
RELATED VIDEOS