.
14th January, 2022
Kiongozi wa cham cha Wiper Kalonzo Musyoka anatarajiwa kufanya kutangaza mwelekeo wake wa kisiasa jumamosi hii atakapokutana na wawaniajai na viongozi mbali mbali kutoka ukambani nyumbani kwake Yatta kaunti ya Machakos. Ingawa Kalonzo anasemekana kuwa chaguo la kamati andalizi ya OKA kupeperusha bendera ya muungano huo angali anahimiza kujiunga na muungano wa azimio la umoja lake Raila Odinga na kama anavyoarifu Daniel Kariuki Kalonzo tayari anapokea upinzani kutoka kwa magavana 3 wa maeneo ya Ukambani.