×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kutana na wanawake kutoka mji wa Kisumu ambao wameamua kujitosa katika sekta ya Jua Kali

14th January, 2022

Sekta ya Jua Kali nchini imekuwa kitega uchumi cha jamii kwa miaka mingi. Sekta hii inatambulika kwa kutawaliwa na watu wa jinsia ya kiume kutokana na hali kwamba kazi inayofanyika huhitaji nguvu sana, Manthari ya kazi huwa kero, kelele na uchafu suala ambalo linawafanya kina dada wengi kukaa mbali. Lakini sasa katika mji wa Kisumu kuna baadhi ya wanawake ambao wamejitosa katika sekta hii ya Jua Kali.

.
RELATED VIDEOS