×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia ya polisi aliyewaua watu 6 na kisha kujiua huko Kangemi yaelezea kushangazwa na kisa hicho

8th December, 2021

Familia ya afisa wa polisi Benson Imbatu ambaye aliwaua watu sita na kisha kujiua kwa kujipiga risasi katika mtaa wa Kangemi imeelezea kushangazwa na kisa hicho.

Wakizungumnza nyumbani kwao kaunti ya Nandi, watu wa familia ya Imbatu wamemtaja kuwa mtu wa kawaida ambaye hakuwa na hasira wala hulka ya kuzozana na watu.

.
RELATED VIDEOS