×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu watatu zaidi wameaga dunia baada ya kukunywa pombe haramu katika eneo la Njoro

8th December, 2021

Idadi ya watu waliofariki kutokana na pombe haramu katika eneo la Njoro inakisiwa kufikia watu wanane baada ya watu wengine watatu kufariki chini ya saa 24 zilizopita.

Hofu imetanda katika eneo hilo ikiaminika kwamba huenda ni watu zaidi waliobogea pombe hiyo na huenda wamefariki nyumbani mwao kimya kimya.

.
RELATED VIDEOS