7th December, 2021
Maandalizi ya mkutano mkuu wa Azimio la Umoja utakao andaliwa katika uwanja wa Kasarani hapa Nairobi Ijumaa hii yaendelea kushika kasi.
Wabunge wa Jubilee na Odm wafika katika uwanja huo kukagua kiwango cha maandalizi.
Hapo awali mkutano wa wabunge wa vyama hivyo viwili ulifanyika faraghani huku muungano wkati ya vyaama hivyo viwili