×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yaahidi kujenga upya daraja la Enziu huko Kitui kwa gharama ya shilingi nusu bilioni

7th December, 2021

Serikali yaahidi kuwa italijenga upya daraja la Enziu kwa gharama ya shilingi nusu bilioni. Taarifa hio imetolewa na katibu katika wizara ya uchukuzi Paul Maringa baada ya ajali katika kivukio hicho kuwaua watu 33.

Hii ni mara ya pili kwa serikali kutoa tangazo hilo la ukarabati wa daraja la Enziu.

.
RELATED VIDEOS