Wanasiasa wanaomuunga mkono naibu rais Ruto waendeleza shutuma zao dhidi ya Waziri Matiang'i
6th December, 2021
Wanasiasa wanaomuunga mkono naibu rais Ruto waendeleza shutuma zao dhidi ya Waziri wa usalama wa ndani DKT. Fred Matiang'i kutokana na kile ambacho wanadai kuwa ni uchochezi.