.
6th December, 2021
Kinara wa ODM Raila Odinga leo aliendelea kupiga kambi jijini Nairobi akikutana na kamati andalizi ya mkutano wa siku ya Ijumaa. Wakati huo huo Raila alipokea baadhi ya wafwasi waasi wa chama cha UDA katika makao makuu ya chama hicho cha chungwa