×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Taarifa Kuu: Shughuli ya kutoa basi kwenye mto na kuokoa miili ya waliozama Kitui yaendelea

5th December, 2021

Shughuli ya kuwaokoa wachimba migodi  kwenye mgodi wa  Abimbo kule Bondo, kaunti ya Siaya bado inaendelea. kufikia sasa, ni wachimba migodi watatu ambao wameokolewa, huku  mmoja akipatikana akiwa ameaga dunia. Shughuli ya kuwaokoa ikiendelea, kati ya watu nane waliofunikwa katika mgodi huo siku nne zilizopita, wanne  bado hawajapatikana. Michael Onyango ambaye aliokolewa jana usiku, na Bernard Ochieng aliyeiokolewa leo asubuhi. Wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya bondo.  

 

.
RELATED VIDEOS