.
1st December, 2021
Pacha waliozaliwa katika hospitali moja mjini Kisii wakiwa wameshikana kifuani watafanyiwa upasuaji ya kuwatenganisha katika hospitali kuu ya Kenyatta, jijini Nairobi.
Familia ya pacha hao inaomba msaada wa dharura kufanikisha upasuaji huo.