x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

SHAJARA YA UFISADI: Kurejeshwa kwa fedha zilizoibwa au mali inayomilikiwa kwa njia isiyo halali

25, Oct 2021

Kila mwaka, tume ya EACC hurejesha kwa serikali fedha zilizoibwa au mali inayomilikiwa kwa njia isiyo halali. Kwenye sehemu ya kwanza ya makala maalum shajara ya ufisadi, mwanahabari George Maringa anaangazia visa viwili, ambavyo ni kipande cha ardhi kilichomilikiwa na shirika la Kalro, na Stanley Mombo Amuti aliyerejesha shilingi milioni 74.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback