Eliud Kipchoge atwaa tuzo ya mwanariadha bora wa mashindano ya Tokyo
25th October, 2021
Kigogo wa riadha duniani mkenya Eliud Kipchoge alitwaa tuzo ya mwanariadha bora wa mashindano ya Tokyo. Alituzwa hapo jana nchini ugiriki baada ya kuhifadhi riadha za mbio ndefu katika marathon za Tokyo.