×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waandamanaji wajitokeza katika barabara za mjini mkuu Khartoum kupinga utawala wa kijeshi

25th October, 2021

Wakati huo huo wandaamanaji wamejitokeza katika barabara za mjini mkuu Khartoum kupinga utawala wa kijeshi. Milio ya risasi imesikika baada ya raia hao kufunga barabara mjini humo. Jeshi la sudan limekuwa na mgogoro na viongozi wa kiraia tangu kumalizika kwa utawala wa Omar al Bashir aliyetimuliwa mamlakani miaka miwili iliyopita.

.
RELATED VIDEOS