×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Fred Matiang'i atoa ombi kwa IEBC kuwazuia wanasiasa wanaojihusisha na vurugu kwenye kampeni zao

25th October, 2021

Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang’i sasa amedokeza kuwa wanawasilisha ombi rasmi kwa tume ya uchaguzi IEBC kuwazuia wanasiasa wote wanaojihusisha na ghasia na vurugu kwenye kampeni zao. Waziri Matiang’i anasema idara za usalama zinaushahidi wa kutosha kuhusu baadhi ya wanasiasa wanaoendeleza uchochezi kwenye uchaguzi mkuu ujao. Matiangi alizungumza kwenye warsha kuhusu maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao iliyojumuiasha taasisi mbalimbali za serikali zikiwemo IEBC na mahakama.

.
RELATED VIDEOS